Wednesday, 7 February 2018

Ona alicho jibu LEMUTUSI :"" kwa TUNDULISSU

Ukiwa mfatiliaji wa mambo ambayo yanapatkana u RAGBUONE... Bas utakuwa unajua nini kinaendelea kwa Hii Habari na kma bado basi Habari kamili ipo Hapa Ila kwa uwelewa zaidi anza na story mbili za TUNDULISSU kisha malizia na Hii Hapa Endelea kusoma jinsi LEMUTUSI alivyo jibu TUNDULISSU 👇👇👇


""""""""""""LE MUTUZ MOBIMBA! .....LE MUTUZ CINTWAYEEN! .....LE MUTUZ BOMAYEEE....HAHAHAHAAHAHA.....KWANZA MWAKA 2011 NILIKUA NIMESHARUDI TANZANIA SIKUWEPO USA ....PILI CONNECTICUT MJINI TULIPOENDA KUNA CHUO KIMOJA TU CONN. STATE...and then Bridgeport College nje ya Downtown......TATU NISINGEWEZA KUTOKA NEW YORK MPAKA CONNECTICUT PEKE YANGU BILA SABABU SAFARI YA MASAA 3 NO WAY! .......HAHAHA NAONA NI JUST ....politics ....hahahaha ndugu yangu kwanza pole sana kwa masahibu yaliyokukuta ...NIMEKUSIKIA LOUD AND CLEAR..Kaka yako alitokea Tanzania then akaja kukupokea JFK na kukupeleka Connecticut? ....hahahaha this is the biggest joke of my life .....NILIKUFANYIA  WEMA AMBAO SIUJUTII PAMOJA NA KELELE ZAKO ZA MLANGO! ... na pia ungesema yote ya jinsi nilipoenda Kijijini kwa Wazazi wako Mahambe/Singida nilikua nafuata nini wakati mimi na wewe hatuna mahusiano yoyote? AGAIN NILIKUFANYIA WEMA KAMA RAFIKI NA SIUJUTII KWA SABABU YA KELELE ZAKO ZA MLANGO ... ..hahaha...halafu pia ungesema tulipoanzia kukutana kwenye Vita ya Jamiiforums ulipokuwa Mwanasheria wetu si ndiko tulikoanzia mbona hukusema hiyo tulipokua tunapigana kuwatoa ndani jamaa zetu au umesahau kwa sababu ya Politics? ..mara ngapi ulinibembeleza nimuombe Waziri Lau Masha awaachie? Umeshasahau? ...hahahahaha.....ni kweli mara ya mwisho tulikutana Ofisini kwa Bosi wako Mbowe ukalalamika sana kwamba mimi ni "CCM MAGAMBA" na hutaki Urafiki tena sawa ila haifuti record ya tulikotokea ...MUOGOPE MUNGU KIDOGO hahahaa lakini NIMEKUSOMA ..NAKUOMBEA MUNGU AKUTANGULIE UPONE HARAKA! ...hayo mengine ni Politics as Usual nimekuelewa!.....ILA SISHANGAI KUMBUKA MANENO ULIYOYASEMA ALIPOKUJA KIONGOZI MMOJA WA TAIFA WA CCM PALE KITANDANI KWAKO HOSPITALI YA NAIROBI ....SI ULIWAKANA CHADEMA UKASEMA NI MANENO YAO TU MITANDAONI WEWE HUNA TATIZO NA SERIKALI YA CCM AU UMESAHAU? kumbe kukana watu ni tabia yako kwa sababu ya politics? ....DUH!..HAHAHAHA....pole sana ndugu yangu nakuombea Upone haraka!....NA THIS CASE IS CLOSED ON MY PART it is CHILDISH!..na unahitaji matibabu zaidi maana Graduation ya Dada unasema ilikua ya Kaka? lahaula .HAHAHAHAHA! ...again THIS CASE IS CLOSED ON MY PART! - le Mutuz


By.. Ragbuone ""Baki na mimi

No comments:

Post a Comment