Karibu mdau wangu uweze kujifunza na R ONE Leo nimekuandalia Dalili 10 ambazo atazionyesha mwanamke anae kupenda ila ana shindwa kukuambia nazo ni Kama zifuatazo
1. Atakutega kupata attention yako. Hufanya mambo ambayo yatamfanya kuona kama unampenda au lah! Mf wa mambo hayo ni kujifanya anaumwa na kuangalia...
Showing posts with label MAHUSIANO. Show all posts
Showing posts with label MAHUSIANO. Show all posts
Thursday, 18 October 2018
Friday, 10 August 2018
Yawezekana huna mpenzi au labda huna muda wa kutafuta mwenza, utakapoona mabadiliko haya mwilini mwako basi inabidi ufikirie kuanza kale kamchezo ketu. Haya ni mabadiliko yanayoweza kutokea mwilini mwako utakapoacha kufanya mapenzi, na si mabadiliko mazuri kama namba hili la kwanza katika mabadiliko haya:
1. Unaweza...
Thursday, 19 July 2018
undefined
201
WATU wengi (hasa baadhi ya wanaume) ama hawajui au hawajali ni kitu gani wenza/mwenza wake anataka kufanyiwa au akifanyiwa kitamsisimua (Turn on) hata kama amechoka sana.
Uchunguzi unaonyesha kuwa Wanaume wengi hasa kutoka nchi za Kiafrika hujali zaidi kumaliza hamu zao za mwili na kamwe hawajali kama wenza/Mwenza wake...
Monday, 18 June 2018
undefined
201
kuna watu wamekua wakiuliza mara kwa mara kama inaruhusiwa kushiriki tendo la ndoa mpaka umri gani wa mimba au ni sahihi kufanya tendo la ndoa kipindi cha ujauzito? maswali yalikua mengi sana hivyo leo nimeamua nijibu maswali hayo na makala hii.
mwanamke akiwa na mimba anaruhusiwa kushiriki tendo la ndoa hata kama...
Sunday, 17 June 2018
undefined
201
DEAR LADIES
1 . Ngono haimfanyi mwanaume asikuache , hata ukukuruke vipi , jikwatue kiasi gani kama hajaona quality za kuwa mke atakuacha tu .
2 . Mwanaume anaekupata kwa vile alitumia pesa zake kwako hatakaa na wewe milele . Wanaume halisi hawawezi wakatoka na wanawake feki wanaopenda pesa. Ukibahatika sana atakufanya...
Saturday, 16 June 2018
undefined
201
Wanasayansi nchini Brazil wamefanya utafiti ili kubaini ni mtindo upi katika ufanyaji tendo la ndoa ulio hatari zaidi kwa mwanaume.
Kwa mujibu wa utafiti huo, mtindo ambao mwanamke anakuwa juu ya mwanaume ndio hatari zaidi na huwa na risk kubwa zaidi ya kusababisha hata kuvunjika kwa uume.
Wanasayansi hao wanasema:
Pindi...
Tuesday, 12 June 2018
undefined
201
Tafiti zimeonyesha kuwa,mdomo wa binadamu ki bacteriologia (bacteriologically) ni mchafu maradufu kuliko sehemu ya uke(vagina).
Ni vema kufahamu kuwa,katika hali ya afya,binadamu wote tunaishi navimelea(microorganisms) katika sehemu nmbalimbali za miili yetu, wakiwa na lengo la kutulinda, kitaalamu wanaita normal flora...
undefined
201
Kuna baadhi ya vitu viko katika mwili vinaweza kuonekana kama havina kazi (useless) lakini kumbe havikuwapo hapo kwa bahati mbaya.
Nywele za maeneo ya siri imekuwa na baadhi vitu ambavyo umuhimu wake haujatiliwa maanani na watu wengi. Imefikia hatua mpaka wengine wanaziona kama ni uchafu mwilini.
Watu wengi hutumia...
Ni matumaini nyote mnaendelea vyema, nami alhamdulillah ala kul Hali naendelea vyema
Leo naona ni bora tukazungumzia tatizo la kutokwa na harufu mbaya ukeni maana watu wengi hudhani kuwa na harufu mbaya itokayo ukeni ni matokeo ya uchafu tu na ndio maana wanaume huwachamba wake zao kuwa hawajuhi kujisafisha na kufanya...
Monday, 11 June 2018
undefined
201
Hivi karibuni kumekuwapo na tatizo la wanaume wengi kuwahi kufika kileleni, huku kitendo hicho kikichangawa na sababu mbalimbali ikiwamo mawazo na sababu nyinginezo.
Ikiwa wewe unatatizo la kuwahi kufika kileleni basi inasadikika ya kwamba kitunguu swaumu ni tiba tosha.
Sifa kuu zinazokifanya kitunguu swaumu kuwa na...
Saturday, 9 June 2018
1. CHOKOCHOKO
Wanaume wengi huwa hawapendi chokochoko. Hawapendi mwanamke ambaye yeye kila wakati ni kuanzisha chokochoko ambazo zinazalisha ugomvi. Wanaume wengi hawapendi mabishano. Hawapendi ugomvi hivyo mwanamke anapokuwa hodari wa kuleta chokochoko, huepukwa.
Ni vyema basi mwanamke akachunga kauli. Akawa si mtu...
undefined
201
Ok umefanya bidii umeapproach mwanamke kwa mbinu za kistadi ukafaulu kuiteka atenshen na hisia zake kwako.
Umeongea na yeye kwa masaa na ukatumia mbinu murua mpaka akakupatia namba yake ya simu.
Siku ya pili umeanza kuchat naye mpaka umemzoea, amekuzoea.
Imepita siku kadhaa bado mnatumiana jumbe fupi lakini inafika...
Friday, 8 June 2018
undefined
201
Kufanya mapenzi wakati wa hedhi ni kitendo cha kujiusisha na mapenzi na msichana au mwanamke aliye katika siku zake za kisichana..Kuna madhara mengi yanaweza yakatokea na kwa kawaida si madhuri kwa afya ya wote wawili.Hivyo kwa ushauri huwa tunapenda watu wajari sana afya zao na si kuzidumaza na kuendekeza hisia kwani...
Wanawake wakubwa huwa wanakuwa na ladha tofauti ikija kwa maswala ya mapenzi – ile ambayo wanaonyesha kupenda wanaume wadogo kiumri. Na kwa sababu wanaume wengi huwa wanavutiwa na aina hii ya wanawake, bila shaka wanaume hawa hutaka kujua jinsi ya kuwavutia wanawake wakubwa kiumri. Uzuri ni kuwa uhusiano na mwanamke...
Thursday, 7 June 2018
undefined
201
Wengi wamejikuta wakiitwa wahuni kutokana na kuwa na uhusiano wa kimapenzi na makundi ya wanaume au wanawake. Hata hivyo wachunguzi wa masuala ya mapenzi wanasema idadi kubwa ya wapenzi si kigezo sahihi cha kupima tabia ya mtu na kumhusisha na uhuni.
Watalaam hao wanataja safari ya kupata chaguo halisi la mwanaume/mwanamke...
undefined
201
Katika hali ya kawaida kufanya mapenzi kuna faida nyingi, lakini linapokuja suala la kuzidi kiasi tunapata matatizo ya msingi ambayo huleta madhara kwa watu wanaoendekeza sana ngono.
Kuna watu ambao hawezi kulala bila kufanya mapenzi na huku wengine wakikosa uwezo wa kuvumilia hata kwa siku mbili au tatu.
Mtu...
"Kwenye mahusiano ya kimapenzi ni vizuri uzito wa mahusiano uwe pande zote mbili, mapenzi huwa matamu zaidi iwapo umpendae naye anakupenda kwa kiwango umpendacho wewe, na si vinginevyo maana tofauti na hapo mapenzi huwa kama kero au mzigo na hisia hukupelekea kujiumiza moyo na kujiharibu kisaikolojia".
Wewe ni...
Sunday, 3 June 2018
undefined
201
Kumfanya mwanamke apandwe na nyege ni ndoto ya kila mwanaume ambayo angependa kutimiza. Kutaka kujua mbinu hii, nimekuletea hatua 8 ambazo ukizifuatilia kwa umakini utafaulu wakati wowote.
Ok, kabla tuanze ngoja niweke wazi...jambo hili si rahisi.
Kumfanya mwanamke kupandwa na nyege lazima nyote wawili muwe na tenshen...
Saturday, 2 June 2018
Kumbemenda mtoto ni mtoto kutokua vizuri ikidhaniwa kutokea kutokana na mama anayenyonyesha mtoto kukutana kimapenzi na mwenzi wake hasa kipindi mtoto bado ni mchanga na ananyonyeshwa.
Hii ni dhana iliyopo katika jamii mbalimbali, na inadhaniwa hutokea kwa sababu mtoto kunyonya maziwa yenye mbegu za kiume zilizoingia...
undefined
201
Ktk makala moja iliyopita nilielezea swala la kujiswafi ili kuondoa utoko nakupunguza harufu/shombo ya uke, vilevile nilisema kuwa kwa kufanya hivyo (kujisafisha huko chini) kunapunguza siku zako za hedhi ikiwa utaendelea kujiswafi wakati uko hedhini.
Sote tunatambua karaha ya hii kitu na baadhi hutunyima raha ikiwa...