MKALI wa Ngoma ya Amezoea, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ kwa mara ya kwanza amefunguka ishu yake na msanii wa Bongo Fleva, Richard Martin ‘Rich Mavoko’ kuhusishwa ni wapenzi kuwa ilimuumiza mno.
Akipiga stori mbili-tatu na Ragbu one , Lulu ambaye aliwahi pia kuwa muuza nyago kwenye video za wasanii wa Bongo Fleva alisema kuwa, siku aliyoonekana katika mapozi ya kimahaba ilikuwa ni usiku wa shoo ya Fiesta jijini Dar ambapo kwake kujiachia ni jambo la kawaida.
“Baada ya picha zile kusambaa, niliumia sana, lakini nitafanyaje ishu imeshatokea japokuwa Mavoko ni mshikaji wangu, sijawahi ku-date (kutoka kimapenzi) kabisa,” Alimaliza ivo """"lakini Wadau na mashabiki wa pande zote mbili waliisi na kuamini juu ya uhusiano uwo kwa kuwa Kuna ushaidi ambao bado una zagaa mitandaoni juu ya swala lao hilo
No comments:
Post a Comment