Tuesday, 27 March 2018

WOLPER LAMTOKA POVU KWA NISHER

Muigizaji wa Bongo Movie, Jacqueline Wolper ameibuka na kuweka wazi kuwa hana mpango wa kuwapa kiki Nisha na Brown baada ya kutangaza kuwa kwenye mahusiano.
Kupitia mtandao wa Instagram Nisha alianika hadharani Penzi la aliyekuwa mpenzi wa Wolper anayejulikana kama Brown jambo lililowashangaza watu wengi.
Nisha na Brown walianza kunyemeleana tangu Brown akiwa na Wolper Lakini pia inasemekana wawili hao walikuwa wanawasiliana kwa siri siri Jambo lililosababisha migogoro na Wolper.
Nisha na Brown wamekuwa waki posti video na picha Kwenye mitandao ya kijamii kuonyeshana mahaba na hata Brown kafuta tatoo ya Wolper Kifuani kwake na kumuweka Nisha.

No comments:

Post a Comment