Mwanamuziki wa Bongo fleva kutoka katika kundi la WCB, Harmonize na mpenzi wake mzungu anayejulikana kama Sarah wamezidi kukiki kama moja kati ya kapo bora katika industry ya Bongofleva.
Harmonize na Sarah ambaye ni Muitaliano walianza mahusiano ya kimapenzi mwaka jana ambapo alikuwa kama Mchepuko wa Harmonize maana kwa wakati huo alikuwa ana uhusiano na Wolper.
Kuna maneno mengi sana yalisemwa kuhusiana na uhusiano wao hasa kwa sababu Sarah ametokea kwenye familiaya kitajiri kidogo na Harmonize Mmakonde ndio vile Tena.
Baada ya kuwa pamoja kwa muda mrefu na hasa kuonekana kila mahali kwani kila sehemu ambayo Harmonize anaonekana kusafiri kwenye shoo basi ujue mpenzi wake Sarah yuko nyuma.
Lakini Sarah amefunguka mazito juu ya mpenzi wake Harmonize amemuandikia ujumbe kuwa anampenda na maneno mengine Kibao matamu kupitia living by the principle that live today like there is no tomorrow. Mahusiano mazuri hayawezi kutokea tu yenyewe…….yanahitaji muda mrefu kujengwa na uvumilivu….na watu wawili ambao wanataka kuwa pamoja…Nakupenda Harmonize”.
Tuesday, 27 March 2018
SARAH.. atoa ya moyoni kwa Harmonize
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment