Friday 2 March 2018

Stamina'"" Awabwatukia Basata

Msanii mwenzake na Roma ambae kwa pamoja  wanaunda kundi la ROSTAM , Stamina amefunguka na kuongea kwa uchungu kuhusu kufungiwa kwa wimbo wao wa kibamia na msanii mwenzake kukatazwa kufanya kazi kwa muda wa miezi sita na kusema kuwa Baraza la Sanaa Tanzania linafanya kwa ajili ya kuwakomoa na sio kuwarekebisha kama wenyewe wanavyosema.
Stamina ansema kuwa kwa muda ambao Baraza la Sanaa waliwapa wasanii hao kwa ajili ya kufanya marekebisho ya wimbo huo bado haujafika lakini cha kushangaza ni kwamba wimbo na msanii vyote vimefungiwa wakati mara ya kwanza walipoongea na naibu waziri huyo walipewa miezi sita
Swala la kufungiwa kwa msanii roma kumezua maneno mengi sana katika mitandao huku wengi wao wakisema kuw kitendo cha kuufungia wimbo ilikuwa ni adhabu tosha kwa msanii huyo kwa sababu ni kazi mabayo ndio inamlishia familia yake.
Leave a Reply
Be the First to Comment!
in Entertainment
ROMA NA STAMINA NEWS
Expedicto Lilian
#Godseeker,
I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.
Kibamia imetoka novemba 22,017 na BASATA na Roma mkatoliki tuliitwa desemba 6 2017 na mh waziri  akasema kuwa anatupa miezi miezi sita kufanya marekebisho lakini leo ndio kwanza march 1,2018 mbona hata miezi sita bado au miezi sita ya tanzania iko tofauti na kalenda za duniani.mna tatizo gani na wasanii wetu BASATA na wizara, mnakuza  au mnaua sanaa?.

No comments:

Post a Comment