Sunday 25 February 2018

SINA TATIZO NA ALIKIBA""na U-team wao Hauniusu

Msanii wa bongo fleva ambae muda mwingi ujikuta katika vita na wasanii wenzake kutokana na tabia yake ya kutoa makavu kwa wasanii wenzao kwa kile wanachokuwa wanakifanya ,Ney wa Mitego amefunguka na kusema kuwa kwa upande wake hana bifu wala ugomvi na msanii wenzake Alikiba kama watu wanavyokuwa wanatangaza na kuzasha katika mitandao ya kijamii kuhusu swala hilo.
Nay wa Mitego anasema kuwa yeye ana Alikba walishawahi kutoa wimbo huko miaka ya nyuma kipindi wote wawili walikwa bado hawajapata majina makubwa ya kuwafanya aanze kujulikana sana katika kiwanda cha muziki, hata hivyo Ney wa Mitego anasema kwa upande wake huwa afatilii sana maswala ya teams kwa sababu hazimuuhusu kitu lakini wanatakiwa kujua kuwa hata yeye pia na team yake.
Ney wa mitego wiki za nyuma alisikika akisema kuwa kwa sasa hataki kubishana kuhusu swala la muziki na mtu yoyoye zaidi sana anajikita katika kufanya kzi kwa sabau amegundua kuwa watu wanakaa wakimpotezea muda katika kubishana nae huku wenzao wanatafuta kiki.
Leave a Reply
Be the First to Comment!
in Entertainment
NAY WA MITEGO NEWS
Expedicto Lilian
#Godseeker,
I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.
sina shida wala tatizo na alikiba nahata hzio team zao mimi hazinuhusu,mimi mwenyewe nina team true boy watu hawajui tu na nilishawahi kufanya kazi nzuri tu na Alikiba kitambo sana hata kabla sijawa mkubwa kiashi hiki na hata alikiba baso alikuwa hajawa alikiba huyo wa sasa alikuwa Alikiba wa sinderela, na kipindi hicho nilitoa wimbo unaitwa watafahamika.-A lisema Ney wa Mitego.

No comments:

Post a Comment