Monday 26 February 2018

Alikiba & Abdukiba kufunga ndoa siku moja

wasanii wa kizazi kipya nchini ambao ni ndugu Abdul Kiba na kaka yake Ali Kiba ambao wanaunda kundi la Kiba Square inasemekana kuwa wanatarajia kufunga ndoa kwa pamoja hivi karibuni.Watu wa karibuni wa familia hiyo wanasema kuwa wasanii hao tayari wameshaanza kufanya vikao vya harusi huko nyumbani.
Mnyetishaji wa habari hizo anasema kuwa hata ile nyumba ambayo Alikiba ameijenga alipewa agizo na mama yake kuijenga lakini aliambiwa kuwa hapaswi kuamia katika nyumba hiyo mpaka pale atakapo oa ndio aweze kuhamia na mke wake.
Baada ya kampuni ya habari ya GPL kupata habari hizo kutoka kwa watu wa karibu waliamua kumtafuta Abdul Kiba ili kuweza kuthibitisha habari hizo ambapo mwandishi alianza kwa kumuuliza kwanini amekuwa kimya au mipango ya harusi ndio inamfanya anakuwa busy ndipo Abdul Kiba alipojibu
Hata hivyo tetesi zilizopo ni kwamba Ali Kiba anatarajia kumuoa mwanamke kutoka mombasa.
Leave a Reply
5 Comments on "Alikiba na Abdulkiba Kufunga Ndoa Siku Moja"
Sort by:  newest| oldest|most voted
Guest
Wanafanana kweli
0 REPLY
3 hours 50 minutes ago
Guest
That’s awesome
0 REPLY
3 hours 50 minutes ago
Guest
Wow, so admirable
0 REPLY
3 hours 49 minutes ago
Guest
Ahaa
0 REPLY
3 hours 49 minutes ago
Guest
Kama ni twins sawa
0 REPLY
3 hours 48 minutes ago
in Entertainment
ABDULKIBA NA ALIKIBA NEWS
Expedicto Lilian
#Godseeker,
I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.
Hivi ninavyokwambia ni kwamba vikao vya hausi tayari vilishaanza kimya kimy lakini vinahusisha ndugu wa karibu tu wa familia basi.
Itakuwa ni harusi kubwa kwa sababu ni ya watu wawili mabao ni maarufu sana bongo na nje ya bongo na wamependa kuifanya harusi hiyo kimya kimya kwanza.na kwa sababu kila mmoja anamashabiki wengi kwaio itakuwa na watu wengi sana.

Hiyo nyumba ya Tabata inamsubiri  tu Kiba amalize kuoa kwanza ndo ahamie kwa sababu ina kila kitu ndani kikubwa kilichokuwa kikisubiriwa ni harusi tu.

Harusi ya Ali au?,ana yeoa ni Ali mimi sina mpango wa kuoa mwaka huu kabisa.Si unajua mambo ya wanawake, ndoa mimi bado Ali ndio anategemea kuvuta jiko mwezi uja

No comments:

Post a Comment