Monday, 5 February 2018

MBOSSO" full story


  • Kila binadamu anatamani Sikh moja kujua na kuwa Saivi yuko katika khari gani tena iwe hari ya rahaa na furaha muda wote ila ili upate hivyo vyote basi nilizima kupambana saana katika maisha ya utafutaji wako siku zote bila kuchoka wala kukata tamaa Na kuzidi kumuweka m/mungu mbele kuliko hata kitu chenyewe unachokiomba ili akuwezeshe kufanikiwa katika Haso zako Leo #mbosso anaonesha jijinsi gani alivyo haso ila baadae alikata tamaa ...ila wale watu wakaribu yake waliokuwa wanajua nn alikuwa anataka na kupenda basi walijaribu kumshauri na kumshika mkono kwa pamoja ili asiishie njiani kwani alipokua anaenda alishaanza kukaribia japo kuwa alikuwa apajui sasa ya mini yanao pajua usiwasikilize #Halaa mbosso

No comments:

Post a Comment