Katika historia ya soka Katika rigi ya laliga "Juu ya utoaji wa adhabu ya penalty BARCELONA ina miaka (3) aijawi kupigiwa penalty, Barcelona Mara yake ya mwisho kupigiwa Azabu Hyo Ni February 14 /2016 dhidi ya Celta vigo """ Tokea hapo Hadi Leo Barcelona haijawai kupigiwa penalty zaidi ya kupiga wao... na Katika team za LA liga""zinazongoza kwa kupigiwa penalty ni Celta vigo & Valencia """""ambazo Hadi ivi sasa zimepigiwa penalty (18) kwa kila team ...ukizingatia Ndani ya LA liga""Hadi sasa zimesha piga team penalty (224) kwa team tofauti tofauti Ikiwemo na Barcelona Katika upigaji na sio uligiwaji.
By:"Aragewer
Tuesday, 13 February 2018
BARCELONA :""Ndani ya miaka 3 ""kupigiwa Penalty NOOO!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment