Sunday, 11 February 2018

AY:" AFUNGA NDOA YA KIMILA RWANDA.



MSANII wa Bongo Fleva, Ambwene Yessayah  ‘AY ‘ amefunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi, Remy.
Wawili hao wamefunga ndoa ya kimila jana nchini Rwanda ambako ndipo anatokea mpenzi wake huyo. Bado AY au watu wake wa karibu hawajaposti katika mitandao ya kijamii kuelezea tukio hilo.
Juli mwaka jana, 2017,  AY alimvisha pete ya uchumba Remy na tukio hilo lilihudhuriwa na watu wa karibu wa wawili hao.
AY akiongea na mpenzi wake kabla ya kufunga ndoa.
AY akimvisha pete ya uchumba Remy

No comments:

Post a Comment