Mpango mzima wa ‘Birthday Party’ ya baunsa wa Mfalme wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, anayefahamika zaidi kwa jina la Mwarabu Fighter, ulifanyika katika fukwe za Sea Breeze zilizopo Mbezi Beach – Dar, jana Februari 11, 2018.
Mashabiki wa Mwarabu Fighter na wageni waalikwa wote walipata fursa ya kukata keki pamoja na baunsa huyo kisha kupiga stori mbili tatu, na mwisho wa yote wakaamua kumfanyizia kitu mbaya ambayo hata yeye hatosahau maishani mwake……
SHUHUDIA TUKIO HILO HAPA
Mwarabu alipewa nafasi ya kuonyesha uwezo wake wa kupiga Push-up na kuwekewa nafasi kando ya swimming pool huku akijiandaa kupiga push up Mc wa ile shughuri Ali msukuma Bounsa uyo hadi ndani ya maji kitendo ambacho Mwarabu fighter hakujiandaa Hhhhhhhhh amakweli ""sitokuja nisahau kwa siku kma ya Leo kwa kitendo iki nawashukuru wadau wangu ote ambao mumekuja kuni Wish sina LA kuwalipa zaidi ya Mmi kuongea maneno machache Ahsanten Sana WADAU wangu Ahsanten Diamond Ahsanten WCB """alimaliza hvyo mwarabu fighter akiongea na
The One
No comments:
Post a Comment