Wednesday 17 October 2018

SERIES | Jamaa Raja: Full season Complete download [Imetafsiliwa kwa kiswahili ]


OK OK Hii hapa season ya ukweli kabisa Jamal Raja kwa hapa Africa sijui sehemu gani ambayo hii series haipendwi ila kwa Tanzania naisi nd the best Unaweza ukaipata hapa hapa kwa kufuata maelekezo baadae ya kugusa kitufe cha Download tu sasa na ufurahie
KWA UFUPI:"" Jamal Raja series ni season ya kihindi inayo muhusisha watu wa tatu katika familia mbili tofauti sadath-roshimy-burga hawa nd wahusika wakuu katika hii series ya Jamal raja 
SADATH:- huyu ni mume wa mwana dada Roshimy na pia ni mkwe wa burga, kwa mana iyo Burga ni mzazi/mama wa mwana Dada roshimy ...Ambae alitokea kumchukia mkwewe bila kujua anachokifanya na kua

JE UNA BIASHARA AU KAMPUNI NA UNAITAJI KUITANGAZA NDANI NA NJE YA NCHI BASI HAPA NDO MAHARI PEKEE UNAWEZA TANGAZIWA BIASHARA YAKO NA KUJULIKANA KWA KUONGEZA WATEJA WENGI WA NDANI NA NJE YA NCHI KWA MAWASILIANO TUPIGIE SIMU KWA NAMBA 0717247313 KARIBU SANA 

No comments:

Post a Comment