Wednesday 10 October 2018

Series| I'm not a robot:full season complete download now


Kanda ya kikorea ambayo inahusiana na kijana wa kitajiri anayefahamka kwa jina la Kim Min Kyu ni bosi (Head of directors) katika kampuni ya KM Financial, Kim Min anasumbiliwa na aleji endapo atagusana na binadamu wowote yule anatokwa na vipele?ukurutu(rash) ndipo anaagiza Team ya Santa Maria Robotic team kumtengenezeawa Robot, aliyejulikana kama Aji 3.

Siku ambapo Robot anatakiwa akafanyie majaribio kwa Kim Min Kyu bahati mbaya Aji 3 akaharibika, Mkuu wa Santa Maria team Baek Kyun akampigia simu mpenzi wake wa zaman bibie Jo-Ji A aigize kama robot siku ya majaribio sababu robot alikuwa na sura ya Jo-JI A




JE? UNA BIASHARA YAKO NA UNGEPENDA IKUE UTANUKE KWA SEHEMU KUBWA NDANI NA NJE YA NCHI BASI "R_ONE" KWA KUJULIKANA NA KUPENDWA SANA NA JAMII INATOA FULSA KWA WAFANYA BIASHARA YEYOTE KUTANGAZIWA BIASHARA YAKE KWA BEI NAFUU :0717247313

No comments:

Post a Comment