Saturday 13 October 2018

SERIES| Atlanta: full season 1 download [sub English]


Huu hapa mchongo wa ukweli unaitwa ATLANTA wengi wao hawaujui huu mchongo lakini ni series ya ukweli kabisa ambayo imeandikwa na kuongozwa na "Donald Glover" mpaka mchongo umetimia KWA UFUPI

Ni season inayo husu wana ndugu wawili ambao wameamua kushirikia katika harakati za mziki kua vikwazo vingi wanapitia hawa ndugu wawili lakini bado hawajakata tamaa.
Hii season imeachiwa December 21 mwaka 2016 lakini had I Leo ni moto na nd kwanza season ya pili mwaka huu itaachiwa Kaa tayari na season two.
Kama bado haujafanikiwa kuiangalia basis unaweza kuipakua hapo chini bila wasi wasi


JE? UNA BIASHARA AU NI MMILIKI WA KAMPUNI FURANI NA UNGEPENDA UWEZE KUTANGAZIWA BIASHARA YAKO BASI ragbuone TUNAPOKEA MATANGAZO YA BIASHARA KWA BEI NAFUU SANA TUPIGIE KWA NAMBA 0717247313

No comments:

Post a Comment