Friday 5 October 2018

MOVIE| Wolf Warriors 1& 2: full movie download [action movie]


Moto huu hapa Kama ulikua bado auja upata nafasi ya kuitazama hii movie basi leo fulsa imepatikana bila matatizo unaweza ku download zote mbili na ukaifatilia moja hadi nyingine ni kitu cha ukweli kabisa kwa walio wahi kuiona au kusimuliwa tu basi wanajua kuwa huu ni moto sio wa mchezo mchezo... Mshutue mwana juu wa huu mchongo wana wapo watu Kama mimi ambao bado wanatamani kuitazama ata mala kumi hii movie 

NAMBA 1

NAMBA 2


JE UNA BIASHARA NA UNATAKA KUITANGAZA.. KUPITIA BLOG PENDWA TUNA TANAPOKEA MATANGAZO YA MA KAMPUNI AU BIASHARA YA AINA YOYOTE ILI KUJIZOLEA WATEJA ZAIDI NA KUJIONGEZEA UMAARUFU  KARIBUNI SANA KWA MAWASILIANO TUPIGIE 0717247313

No comments:

Post a Comment