Sunday 18 February 2018

Ukitaka kudai haki ya Aquiline basi dai na ya Salum Mohammed almas "


Ukifatilia kifo cha Mwanafunzi ""Aquiline""wa chuo hapo juzi.. Utaludi na Hadithi fupi inayo sema alikufa kwa kupigwa risasi na polisi bila ya kukusudiwa pindi alipo kuwa ndani ya gari ""daladala"" Basi... Na ndivyo ilivyo ki uwalisia
     ukija kuangalia kwa swala hili juu ya polisi ni jambo la kawaida na ni Bahati mbaya kwa kazi kma zile wanazofanya polisi
Je?  nani atakuwa mbele kudai haki ya ""Aquiline "" kwa kupigwa risasi na polisi risasi ambayo haikuwa lengo imfikie yeye ni bahati mbaya tu ikampiga yeye nani Atakuwa mbele kudai haki Hii na amini hakuna mana hili sio kusudio lao kufanya hivi
  Jiulize kuwa siku moja 14/05/2017 ""Salum Muhammad Almasi""aliye kuwa mwanafunzi wa UDSM alipigwa risasi na polisi mchana kweupe ...kwa ushaidi ulio katolewa salum... Alikuwa ni Mmoja wa majambazi ambao wakizozana na askari....
    Basi si jambo la kushangaza sana japo kuwa ni jambo zito kwa Upande wa wafiwa Ndugu na marafiki wa karibu, simanzi na uzuni chuoni kwao kwani hakuna aliye katarajia kama ingetokea kitu cha namna ile Ila kila Mmoja alipaswa kufumba macho na kumuombea aendako afike salama... Na safari yake iwe ya amani na kuku mbuka kila binadamu ana Njia yake ya kutoweka Hapa duniani
   POLE ZA WADAU WALIOGUSWA NA MSIBA 
  Achilia mbali. Simanzi na uzuni kwa wafiwa bado hata watu mbali mbali ikiwemo wasanii mbali mbali  wamejitokeza kutoa pole na kuonesha jinsi gani wameuzunishwa na msiba huu wa "Aquiline " moja ya wasanii hao ni CO "wa WCB Diamond platnum"ambaye amejitokeza na ku post picha ya dada uyo na kumuombea kheri ya safari yake, wasanii wengine
Chege, Dogo janja, harmoniZee, Niki, na wengine wengi waliguswa na msiba huu
  RIP... Ishi kwa amani na upendo siku zote Katika makazi mpya!

No comments:

Post a Comment