Monday 12 February 2018

Joket:""Kidoti Changu Ndio utambulisho wangu

MWANAMITINDO na Kaimu Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UV-CCM), Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ amefunguka kuwa kidoti chake huwa kinampagawisha.
Akizungumza na The One , Jokate alisema kuwa, kila mwanadamu kuna kitu anakipenda kwenye mwili wake na kwa upande wake yeye anakizimia kidoti chake kwa sababu ndicho utambulisho wake.
“Kila ninapoamka asubuhi, lazima nikichungulie kidoti changu kama kipo au kimepungua maana ndicho utambulisho wangu,” Na sitapenda nikitoe wala kuki haribu kwa Vipodozi vya Kuchubua Ngozi kitu ambacho Kidoti Changu kikapotea au kuharibika rangi au umbile lake la siku zote ""Alimaza hvyo jokate.

No comments:

Post a Comment