Sunday 18 February 2018

DIANA KIMARO :"" Naenda kutembelea Lulu!

DIANA KWENDA GEREZANI KUMUOMBEA LULU
Mwigizaji wa filamu Bongo, Diana Kimaro, amesema anajipanga kwenda Gereza la Segerea jijini Dar kumuombea aliyekuwa swahiba wake, Elizabeth Michael ‘Lulu’ anayetumikia kifungo cha miaka miwili jela kwa kosa la kuua bila kukusudia aliyekuwa msanii mwenzake, Steven Kanumba.

Akizungumza na gazeti moja Diana alisema kuwa, zaidi ya mara tatu alishajipanga kwenda gerezani kumuona lakini hakuweza kufanikiwa kutoka na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wake Ingawa kwa sasa amejipanga kwenda na wadada ambao kila mwisho wa mwezi wanaenda kuwapa Neno la Mungu wafungwa. “Sio kwamba nipo kimya simkumbuki Lulu, hapana! Mwisho wa mwezi huu najipanga kwenda kumuona kuna wadada ambao huwa wanaenda kutoa Neno kila mwisho wa mwezi gerezani ndio nitaenda nao na ninajua wazi atafurahi sana,” alisema Diana ambaye ni muumini katika kanisa la Mchungaji Mwamposa.
Na licha ya urafiki Wao ni msanii mwenzake ambao wamesha wai kufanya kazi pamoja Katika tasinia ya Bongo movie... Diana amejipanga na kuto ahadi kuwa atoweza kukosa kwa safari Hii kwenda kutembelea rafiki yake mpendwa Elizabeth Michael "Lulu" ambae bado yupo gerezani akitumikia adhabu yake ya miaka miwili..!



KWA STORY NYINGI NI TAFUTE KWA MIATANDAO YA KIJAMII 
INSTAGRAM NA USISAHAU KUNI FOLLOW 

No comments:

Post a Comment