Thursday 7 February 2019

Review| Legends of tomorrow| Read now



Welcome back... Katika sehemu hii ambapo tunafanya marejeo ya filamu (Movie review) kuangalia ni kitu gani tumeweza kujifunza, kulikuwa na makosa gani, waliwezaje kutengeneza na vitu mbali mbali kuhusu movie husika.

Leo hii nimekuletea taarifa kuhusu series ya Legends of Tomorrow ambayo imesheheni superheroes kibao kutoka DW huku Wentworth Miller akiwepo (Michael Scofield), Victor Garber, na Franz Dramer Lakini baadae Cw wakaingia kati  kuleta watu kama Grant Gustin (The Flash) na mtaalamu Oliver Queen mzee wa mishale, na kufanya Series hiyo kuwa kali zaidi.

Mpaka sasa hivi Imetoka jumla ya Misimu mitatu(Season tatu), Lakini kwa sasa taarifa inasema kuwa kampuni ya DW italeta mzigo huyo baadae mwaka huu.

LINI ITATOKA SEASON FOUR

Kumbuka kuwa season 3 iliishia pale ambapo Gary na John Constantine (Matt Ryan) wakitafuta team ya watu ambao watapambana na magical threat.

Ujio wa Season four ya Series hii imetangazwa kuwa ni tarehe 22 mwezi oktoba mwaka 2018, Episode one yake imepewa jina la "The Virgin Gary", itarushwa kupitia CW.

Keiynan Lonsdale hatokuwepo tena

Mtaalamu Keiynan Lonsdale, ambaye amecheza kama Wally West / Kid Flash ambaye ameonekana ana kasi kuliko ya Barry hatowez kuwepo tena katika msimu huu wa nne, Lakini Barry atakuwa ndio mwenye kasi zaidi ya Wally baada ya Barry kumzuia Wally, Lakini tumeambiwa kuwa anaweza kurejea tena katika Msimu wa tano (Season 5), Pia kuwepo kwa Matt Ryan katika msimu huu wa nne

TRAILER| AVENGERS: ENDGAME (2019Movie) Download

Avengers: Endgame (2019)

Action, Adventure, Fantasy | 26 April 2019 (USA)



4221396001_5976802372001_5976784968001-vs
In the aftermath of Thanos wiping out half of all life in the universe, the remaining Avengers must do what's necessary to undo the Mad Titan's deed.

Directors: Anthony Russo, Joe Russo

Writers: Christopher Markus, Stephen McFeely | 

Stars: Brie Larson, Karen Gillan, Scarlett Johansson



Watch Trailer

MUSIC VIDEO| Rayvanny Ft diamond platnumz - Tetema

NEW VIDEO: RAYVANNY Ft DIAMOND PLATNUM
Song: TETEMA
Artist from WCB label Enjoy




Saturday 1 December 2018

MOVIE| Robot 2.0: full movie complete download [Sub English]


OK OK hii hapa movie ya ukweli nimekuwekea hapa mwanzo mwisho bila shida yoyote una weza uka download hii ni Kwa wapenzi wa movie za kihindi basi hii ni nouma Sana ni full action love story kidogo Story kubwa ni Robot alie tengenezwa Kwa ajiri ya kusaidia watu. Pakua sasa Na usikose kumtaarifu mwenzio aje kupata huu moto 



Kwa wapenzi wa season za aina zote basi unaweza kuzipata hapa Kwa kugusa sehemu iliyo korezwa Kwa rangi 👉 SEASONS 

MOVIE| Guardians: full 2018movie complete download [Sub English]

OK OK hip hii hapa kitu Cha ukweli kabisa unaweza kukipata hapa hapa mwanzo mwisho bila shida yoyote una weza uka download kitu hiki hapa ni 2018movie hii ni Kwa wale wapenzi wa movie za action na na uchawi uchawi basi huu moto nimekuwekea hapa 


JE?  unabiashara Na unataka kuitangaza ipate kujurikana sehemu zote za dunia basi unaweza ukatangaza nasi Kwa bei nafuu kabisa karibuni Sana Kwa mawasiliano tupigie Kwa namba 0754872292 au 07172473137 

Sunday 25 November 2018

MOVIE| Venom: Full 2018movie Complete download [Sub English]

OK OK hii hapa kitu cha ukweli kabisa unaweza ukaipata kwa kudownload mwanzo mwisho wa movie hii ni 2018movie Tumekusogezea hapa mshitue mwana aje kuanza nayo hapa haraka... Pia fanya kuangalia kionjo hapo chini ili na unaweza uka download 



JE? una biashara yako na ungependa kuitangaza basi kupitia blog yetu pendwa hapa tupo kwa ajiri yako na tuko kwa bei raisi njoo Ujitangaze hapa ili uweze kufikiwa na Wateja wengi Sana kwa mawasiliano zaidi tupigie kwa namba 0754872292
KARIBUNI SANA 


Thursday 22 November 2018

MOVIE| Death race4: full 2018movie download [Sub English]

OK OK hii hapa kitu cha ukweli kabisa nimekuwekea hapa unaweza ukaipata kwa kudownload mwanzo mwisho wa movie Ni 2018 movie  DEATH RACE 4: na kwa wale wapenzi wa movie za action basi hapa nd mahari pake unaweza uka download Season za Aina zote hapa hapa bila matatizo ya Aina yoyote gusa link hpo chini kudownload 
                                  

JE?? unabiashara na ungependa kuitangaza basi unaweza ukatangaza nasi kupitia blog yetu pendwa hapa nchini na nje ya Nchi kwa mawasiliano tupigie simu kwenda 0717247313 au  0754872292(RAGBUONE)

Tuesday 20 November 2018

MOVIE| Titanic: Full movie complete download [Sub English]


OK OK HII HAPA... NIMEKULETEA HPA LEO KWA WAPENZI WA HII MOVIE BASI FANYA KUDOWNLOAD KUJIKUMBUSHA NA TITANIC NI BONGE MOJA LA MOVIE NA MOVIE YA KITAMBO SANA ILA BADO INAFANYA VIZURI HADI KATIKA SOKO LA SASA 

DOWNLOAD | TITANIC :FULL MOVIE COMPLETE [SUB ENGLISH]

Friday 9 November 2018

MOVIE| Ip Man3: full movie download MB 400 [Sub English]

OK OK  Hii hapa Ip man 3 Nime kuwekea hapa unaweza ukaipata kwa kudownload mwanzo mwisho wa movie kwa wale wapenzi wa movie za Action yaan ngumi mwanzo mwisho basi pita nayo hapa...ni movie ambayo dunian Hakuna asie itambua iwe kwa kuitazama au kusimuliwa basi na kwa wale wa wasio pata bahati ya kuiona hii movie Leo nimekuwekea unaweza ukaipata hapa 👇👇👇

MOVIE| IP MAN 3: FULL MOVIE DOWNLOAD 
...........................................................................................................................................................
JE?  UNA BIASHARA NA UNGEPENDA KUITANGAZA BASI UNAWEZA KUTANGAZA NASI HAPA KWA BEI NAFUU KABISA... ILI UJIINGEZEE WATEJA WA NDANI NA NJE YA NCHI.UKIANGALIA KWA DUNIAN WAPENZI WA MOVIE WAKO WENGI KUPITA MAELEZO WAKIWA TUPO NAO HAPA WAKIFATILIA BLOG YETU KUTOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA " TANGAZA NASI KWA BEI POA. KWA MAWASILIANO 0717247313
EMAIL : Ragbuone@gmail.com 
aragewerragbu@gmail.com


MOVIE| Secret superstar: full movie complete download [Sub English ]


OK OK hii hapa kitu cha ukweli kabisa unaweza ukaipata kwa kudownload mwanzo mwisho wa movie. Ni bonge moja la movie Kwa wapenzi wa movie za love story na vichekesho kidogo (comedy) basi fanya una pita nayo hapa ni.... Kwa ufupi ni movie inayo muhusu kijana mmoja ambae ana safa kutafuta ridhiki kupitia kipaji chake cha mziki Amevuka mateso masemango zarau mpka anakuja kuwa msanii mkubwa dunian Hakuna Mtu ambae aliweza kuamini ila mwisho wa siku ilibidi kuamini tu... Download sasa mzigo uko tayari hpo chini 👇👇Pakua 

MOVIE | SECRET SUPERSTAR :FULL MOVIE DOWNLOAD 

KWA WAFANYA BIASHARA SASA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU KABISA ILI UWEZE KUFIKIWA NA WATEJA WENGI NDANI NA NJE YA NJI.. KWA MAWASILIANO TUNAPATIKANA KWA NAMBA ZA SIMU 0717247313 au 0754872292