Wednesday 4 April 2018

LINAH.. ATOA SIRI YA ZARI KUPATA DILI LA PAMPERS

Mwanadada msanii na pia mama wa mtoto moja mwenyemiezi kama sita sasa(LINAH SANGA) amefunguka na kusema kuwa dili alilopata Zari la kutangaza pampers za watoto lilikuwa limewashirkisha watu wengi hata yeye akiwa mmoja wao lakini kuna vitu walishindwana na ndipo alipotafutwa mtu mwingine.
Lina anasema kuwa pia sababu inayowez kuchangia zali kupata dili hilo ni kutokana na uzoefu alionao Zari kwa sababu ana watoto wengi tayari na inawezekana ndio maana ilikuwa ni rahisi kwake.
Zari ana watoto wengi na ndio maana kapati dili la pampers”-alisema Linah alipokuwa akifanya Mahojiano na moja ya vyombo vya habari nchini.
Hata hivyo baada ya zari kuja Tanzania na kusaini mkataba huo wasanii wengine walionekana ku-mind swala hilo na kusema kuwa wazarishaji ni wabaguzi kwa ni i walishindwa kuchukua mtu kutoka ndani.

1 comment: